Posts

Showing posts from January 24, 2018

Historia ya Sheikh Salim Mti Mkavu

Image
Utangulizi Namshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kunijaalia fikra na utashi wa kuandika kitabu hiki nilichokitambulisha kwa jina la سيرة ملهمة ( siiratun mulhimah) . Makusudio yangu makubwa katika kuandika kitabu hiki ni kuelezea sifa na mwenendo wa maisha ya Bwana na walii aliye kipenzi cha Mwenyezi Mungu Mtukufu na Mtume (SAW). Ni Matarajio yetu Historia hii tuliyoiandika ndani ya kitabu hiki itahifadhika na kujenga kumbukumbu juu ya maisha ya watu wema kwa ujumla. Kuwakumbuka watu wema na kufuatisha matendo mema ni ufunguo wa kheri hapa duniani na Akhera. Insha Allah Mwenyezi Mungu amjaalie kila la kheri msomaji wa kitabu hiki na amjaalie kuwa na matendo mema. “ E ee Mwenyezi Mungu tujaalie sote mwishilio mwema na utujaalie kuwa watu wa peponi ” ( Aamiin) . Ustadh Musa Abdulrahman Msele   +255 717 408 584 musamseletz@gmail.com                ...