Posts

أُصُوْلُ الْفِقْهِ

أُصُوْلُ الْفِقْهِ  يعرَّف باعتبارين: الأول: باعتبار مفرديه، أي: باعتبار كلمة (أصول) وكلمة (فقه). فالأصول: جمع أصل، وهو ما يبنى عليه غيره، ومن ذلك أصل الجدار، وهو أساسه، وأصل الشجرة الذي يتفرع منه أغصانها، قال الله تعالى: {{أَلَمْ تَرَ كَيْفَ ضَرَبَ اللَّهُ مَثَلاً كَلِمَةً طِيِّبَةً كَشَجَرَةٍ طَيِّبَةٍ أَصْلُهَا ثَابِتٌ وَفَرْعُهَا فِي السَّمَاءِ *}} [إبراهيم] . والفقه لغة: الفهم، ومنه قوله تعالى: {{وَاحْلُلْ عُقْدَةً مِنْ لِسَانِي *يَفْقَهُوا قَوْلِي *}} [طه] . واصطلاحاً: معرفة الأحكام الشرعية العملية بأدلتها التفصيلية. فالمراد بقولنا: (معرفة): العلم والظن، لأن إدراك الأحكام الفقهية قد يكون يقينياً، وقد يكون ظنياً، كما في كثير من مسائل الفقه. والمراد بقولنا: (الأحكام الشرعية) الأحكام المتلقاة من الشرع، كالوجوب والتحريم. فخرج به الأحكام العقلية، كمعرفة أن الكل أكبر من الجزء. والأحكام العادية، كمعرفة نزول الطل في الليلة الشاتية إذا كان الجو صحواً. والمراد بقولنا: (العملية) ما لا يتعلق بالاعتقاد، كالصلاة والزكاة، فخرج به ما يتعلق بالاعتقاد، كتوحيد الله ومعرف...

Ust Musa Abdulrahman Msele

USTADH Musa Abdulrahman Msele ni mwanazuoni WA kiislam anayefanya shuhuli zake za kidini katika ukanda WA Afrika ya Mashariki. Alizaliwa mwaka 1991 Mjini Moshi akiwa mtoto WA pili WA Marehemu Mzee Abdulrahman Abdallah Msele.  USTADH Musa Abdulrahman Msele ni Kiongozi Mkuu wa Taaluma katika chuo cha mafunzo ya Kiislam Izzadin. Amechukua mafunzo ya elimu ya dini yake katika chuo cha kiislam Izzadin kinachosimamiwa na Sheikh wake Ramadhan bin Khamis  Ustadh Musa Abdulrahman Msele ni muandishi mbobevu WA historia katika uislam na masomo mengine kama usulul fiqhi, fiqhi, swarfa, tauheed, balagha, na masomo mengine ya Kiislam  Miongoni mwa masheikh zake NI 1. Sheikh Ramadhani bin Khamis  2. Sheikh Salim bin Mubarak Mti MKAVU 3. Sheikh Yusuf Lyasenga 4. Sheikh Samir  5. Sheikh Abdallah Mzee Na wengine 

Historia ya Sheikh Salim Mti Mkavu

Image
Utangulizi Namshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kunijaalia fikra na utashi wa kuandika kitabu hiki nilichokitambulisha kwa jina la سيرة ملهمة ( siiratun mulhimah) . Makusudio yangu makubwa katika kuandika kitabu hiki ni kuelezea sifa na mwenendo wa maisha ya Bwana na walii aliye kipenzi cha Mwenyezi Mungu Mtukufu na Mtume (SAW). Ni Matarajio yetu Historia hii tuliyoiandika ndani ya kitabu hiki itahifadhika na kujenga kumbukumbu juu ya maisha ya watu wema kwa ujumla. Kuwakumbuka watu wema na kufuatisha matendo mema ni ufunguo wa kheri hapa duniani na Akhera. Insha Allah Mwenyezi Mungu amjaalie kila la kheri msomaji wa kitabu hiki na amjaalie kuwa na matendo mema. “ E ee Mwenyezi Mungu tujaalie sote mwishilio mwema na utujaalie kuwa watu wa peponi ” ( Aamiin) . Ustadh Musa Abdulrahman Msele   +255 717 408 584 musamseletz@gmail.com                ...